huyu binti ninamngoja

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Mariage is a pinacle of all dating and relationships..so natafuta mdada mswetee mzuri wa kudate size ya kati ila awe na akili sana if m bn specfic awe mini genius ,awe master of manipulation,awe na ushawishi,mcheshi..pia awe anaenda na wakat in the sanse tht anacope na tech change, awe mshabiki wa arsenal..mie ni mwanaume (27),naishi jijin wa size ya kati mwembamba..km yupo mdada mwene vigezo nipm BBM pin yako!.
 
lol, kweni wewe kilaza mpaka utake genius?

Labda niquestion uelewa wako kusema naitaji tena sio genius(soma uelewe) na mimi kua kilaza kuna uhusiano gan ..demu mkali kukurupuka real means a lot
 
Haya Bwana Getisita. Sasa huyo genius wataka kufungua chuo?

Mhh ivi kwa taratibu za jamhuri ya muungano wa tz..ili ufungue chuo requirement ni kuwa na mwanamke genius..?..mie napenda kudate mademu waliofunguka kupita maelezo ndo ligi inakua nzuri
 
kha ila hapo kwa mpenzi wa arsenal utakuwa umepata demu mvumilivu maana timu haina ubingwa miaka saba na pia atakuwa anajua kumudu financies kama wenger.
 
Labda niquestion uelewa wako kusema naitaji tena sio genius(soma uelewe) na mimi kua kilaza..demu mkali kukurupuka real means a lot

Hahah mvivu wa kufikiri may be...soma tena hoja zako hapo chini kwenye bold

Mariage is a pinacle of all dating and relationships..so natafuta mdada mswetee mzuri wa kudate size ya kati ila awe na akili sana if m bn specfic awe mini genius ,awe master of manipulation,awe na ushawishi,mcheshi..pia awe anaenda na wakat in the sanse tht anacope na tech change, awe mshabiki wa arsenal..mie ni mwanaume (27),naishi jijin wa size ya kati mwembamba..km yupo mdada mwene vigezo nipm BBM pin yako!.

Anyways best of luck
 
Mtu genius anajijuaje ili tujitathmini

Angalia intelligent quotient (I.Q) yako..pia angalia emotional quotient (I.E) yako..hizi hata ukigoogle zipo softiware nzuri za kupima..mara nyingi ukihits from 60% na kuendelea upo vizuri..hii inaweza kua ngumu ila kibongobongo lazm kama upo serious unajitambua km wew upoje
 
Hahah mvivu wa kufikiri may be...soma tena hoja zako hapo chini kwenye bold

Anyways best of luck

Nimesema mini-genius..ukitaka kumficha kitu mtanzania usiende kukiweka chini ya bahari weka ktk maandishi
 
kha ila hapo kwa mpenzi wa arsenal utakuwa umepata demu mvumilivu maana timu haina ubingwa miaka saba na pia atakuwa anajua kumudu financies kama wenger.

Yo genius mzabzab..I read an interesting story eti kuwa recruited CIA wanafatilia hadi team unayoshabikia maana pipo tend to behav kutokana na team wanazoshabikia
 
Back
Top Bottom