Huyu binti nasikia alitakiwa kuwa mkuu wa wilaya

[h=2]Wednesday, January 26, 2011[/h][h=3]MKUU WA WILAYA YA MANYONI[/h]

Huyu ndiye mwanadada Fancy Nkuhi anayezua mijadala masikioni wa watu hivi sasa baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Manyoni. Inaelezwa kwamba yeye hana uzoefu wowote katika kazi yake ya kuteuliwa kwani ndio kwanza katoka shule. Mimi nadhani hakuna mtu aliyeanza anajua mahali popote. Lakini pia changamoto ya uzoefu katika kazi ndiyo inayopelekea watendaji wengi kufanya madudu. Hili nalo ni moja ya jambo lililozua mijadala katika mdahalo wa Katiba pale Nkurumah Hall kwa mmoja wa wasemaji kuhoji vigezo vipi vinavyotumika kuteua watendaji wa Serikali vinavyotumika na Rais.
 
NAKUBALI.jpg
[/
QUOTE]

beautiful nice pic..
 
Wednesday, January 26, 2011

MKUU WA WILAYA YA MANYONI

Unajua ****** mwaka 2005 wakati anatangaza baraza lake la mawaziri aliongea sentensi moja ambayo bado naikumbuka sana namnukuu " mnashangaa majina mtayazoea tu na hakuna chuo cha kinachofundisha uwaziri" mwisho wa kunukuu. Sasa hata huyu binti kama ndio ameukwaa U-DC basi ndio anaendeleza ile tuzoee majina na hakuna chuo cha kufundisha wakuu wa wilaya kwa hiyo wagogo na wakazi wa manyoni wampokee huyo "chekechea" wao mambo yatajipa huku huko ili mradi mpiga Zumari mwenyewe bado yupo.
 
Wednesday, January 26, 2011

MKUU WA WILAYA YA MANYONI

.

kadada kazuri kama haka na elimu yake badala katulie kapate wa rika lake waanze maisha,kawe huru kutanua na mpenzie kokote kwa kidogo walicho nacho, huyo mzee alivyowapanga kuna future gani? karibia asilimia 100% ya wasichana akili zao siyo nzuri linapokuja suala la mapenzi
 
Mkuu kwani kuwa D.C. inabidi CVs zako zikaeje?

wakati wa Tanu dereva mzuri alikuwa akipewa u-DC, hivi sasa mahawara na wachumba wasio na sifa ya uongozi wanapewa u-DC
nimekopi hiyo kauli kutoka kwa Jen. ulimwengu kwenye kongamano la katiba nkrumah
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom