Huyu bibi sijamwelewa

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Hivi bibi kama huyu anaweza kumfundisha nini mjuku wake?

huyubibisimwelewikabisamaanayake.jpg
 
Unataka ulete za kuleta akuchekee tu kisa yeye ni bibi?

hAHAHAHAHAHAHAHAH HAYA BWANA NA MAISHA YENYEWE NDIO HAYA UKATA NA MAADILI YALIPOROMOKA UNAKUTA KAKIJANA CHA MIAKA CHINI YA 18 KANAMCHEKEA CHKA BIBI NA AKIKAA VIBAYA WANANCHUNGULI KWELI DUNIA SIJUI NDIO IMEISHA AU NDIO INAANZA
 
Unataka ulete za kuleta akuchekee tu kisa yeye ni bibi?

Je hivi ndivyo kamanda Halima Mdee alivyomuonesha Naibu Spika Ndugai alivyopindisha taratibu bungeni? Kama hivyo ndivyo basi alimkwaza na alistahili kuoneshwa kidole hicho!!
 
je hivi ndivyo kamanda halima mdee alivyomuonesha naibu spika ndugai alivyopindisha taratibu bungeni? Kama ndivyo basi alistahili!!

ndio hivyo hivyo wala hujakosea kwani hii sign maneke nini au ni ya kifreemason nini?
 
ndio hivyo hivyo wala hujakosea kwani hii sign maneke nini au ni ya kifreemason nini?

Hili ni tusi la kiswahili na sio la Kifreemason kama unavyouliza! Kama vile unamsokomeza kidole mtu kwenye masabuli yake!!
 
Hili ni tusi la kiswahili na sio la Kifreemason kama unavyouliza! Kama vile unamsokomeza kidole mtu kwenye masabuli yake!!

Duh kumbe ina maana mbaya hivyo tafadhali nisaidieni kufunga huu uzi.

Ndugu isije kuwa tu umenidanganya?
 
Hili ni tusi la kiswahili na sio la Kifreemason kama unavyouliza! Kama vile unamsokomeza kidole mtu kwenye masabuli yake!!

Na ukionyeshea vidole viwili manke nini? vikiwa vimepanuliwa kama ile ishara wanapenda sana kupiga wale pipos pawaa?
 
Na ukionyeshea vidole viwili manke nini? vikiwa vimepanuliwa kama ile ishara wanapenda sana kupiga wale pipos pawaa?

Usichanganye mambo, ishara ya peoples's power ni "V" sign yenye maana ya VICTORY kwa kiswahili USHINDI ;lakini hiyo uliyouliza maana yake ni kidole cha shahadu kilichopindishwa!! Kama huoni tofauti wewe ni mpofu!
 
"... na mimi ni yule kidole cha kati, watu huwa hawanielewi..." Extract kutoka tangazo la biashara la kampuni ya simu za kiganjani.
 
Usichanganye mambo, ishara ya peoples's power ni "V" sign yenye maana ya VICTORY kwa kiswahili USHINDI ;lakini hiyo uliyouliza maana yake ni kidole cha shahadu kilichopindishwa!! Kama huoni tofauti wewe ni mpofu!

Mkuu, hakuna kidole cha "SHAHADU" isipokuwa kuna kidole cha SHAHADA ambacho sicho alichotumia bibi, hicho ni kidole cha kati, umemlisha sumu huyo jamaa, mtake radhi.
 
Hivi bibi kama huyu anaweza kumfundisha nini mjuku wake?

View attachment 62953

Kina Bi Cheka wako wengi siku hizi. Hii yote inatokana na kutokuwa na imani na nchi kwa ajili ya CCM, watu wamechoka visingizo visivyo na sababu toka miaka ya 60 mpaka sasa. Huyu hapa anamtukana Kikwete na kesho tu atasaini mkataba na Clouds media ili awe anaimba fleva aweze kutukana zaidi.
 
Back
Top Bottom