Kwa upande mwingine sio vibaya...kama kuna chumba ambacho mpangaji yeyote angekaa, why not binti yake?? Ila tu binti hatakuwa na uhuru...kama angeishi sehemu nyingine.
sawa lakini kuna uhuru fulani ambao binti atakosa...... Lakini kali kuliko ni pale ambapo binti anaishi kama wapangaji wengine tu....hii haijatulia.
1.baba atak bnt aondoke so KATUMIA MUUNDO MBINU UO ILI BNT ASTOKE HOME IL AWEZE KUMCHUNGA FRESH
2.baba anapenda sana pesa..
kwa hiyo binti anataka kuhama kwa sababu ya kupata uhuru???
Uhuru gani?
yap...
uhuru unahusika hasa kwa bint mkubwa kama huyo, unajua kuna mambo mengine huwezi mbele ya wazee nafikiri hata wewe unalitambua hilo!!
kiukweli bint amechemsha kukubaliana na sababu nyepesi aliyopewa na mshua wake, labda kama mkataba alio sign una vipengele vinavyompa huo uhuru aliokuwa anaukosa hapo kabla ya kuwa mpangaji kwenye nyumba ya wazee wake.....
Mwisho atamwambia kuliko kwenda kumfaidisha mwanaume mwingine ni bora amuoe yeye,maana ye ndie kamsomesha.
nunua bidhaa za tanzania uijenge tanzania. Napita tuu ngoja nikatafakari kabla sijachangia
ni nyumbani afu bado alipie???kumbuka huo utamaduni upo western countries ambapo wenzetu ukishafikisha 18 yrs ka bdo upo home unakua unalipa kodi lakini bongo hatujafika huko jamani looohKwa upande mwingine sio vibaya...kama kuna chumba ambacho mpangaji yeyote angekaa, why not binti yake?? Ila tu binti hatakuwa na uhuru...kama angeishi sehemu nyingine.