Huyu anatafuta nini Dodoma mda huu wa majeruhi?

Asante ..Rais wangu KIPENZI..kazi njema katika kutupeleka kwenye nchi ya AHADI.kaza buti 61% tupo nyuma yako.

mnafuata nn nyuma yake au ndo mwammendea!kajifunze lugha ila kuona huon hata harufu ya uchafu ktk sirikali yake haujui du ushabiki mdenda.

Ameenda kusaidiwa kutengeneza slogan mpya kwa ajili ya Igunga maana zile za "maisha bora kwa kila m-tz" na ya "...kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya..." hawawezi tena kuzitumia!

08_11_ghm9wp.jpg
hawa ndo viongozi wakuu wa tanzania kazi yao KUCHEKACHEKA TUU SIJUI HAWAONI AIBU NA MATATIZO TULIYONAYO!

Yawezekana amekuja Dodoma ili apongezwe na wanamagamba kwa kuiwakilisha Tz kwenye mkutano wa SADC kule Angola ambapo TZ imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chombo cha kusimamia Siasa, Ulinzi na Usalama kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia sasa.

Asante ..Rais wangu KIPENZI..kazi njema katika kutupeleka kwenye nchi ya AHADI.kaza buti 61% tupo nyuma yako.

Asante kwa lipi mkuu?IQ yako inamatatizo huwezi ukamshukuru mtu ambaye anakutesa,jifunze hata kwa kuiga wengine wewe,NYAMBAFU.

Asante kwa lipi mkuu?IQ yako inamatatizo huwezi ukamshukuru mtu ambaye anakutesa,jifunze hata kwa kuiga wengine wewe,NYAMBAFU.
Unajua mjinga ni nafuu kuliko mpumbavu,maana mjinga unaweza elimisha!Eric ni zaidi ya mjinga!achana naye,maana hawezi elimika

I believe jamaa anamawazo mazuri tu,ila hatujawahi yaskie..kama anagekua anayatoa,may be tungejua ni watendaji..nadhan karibia watamtusi na yeye...manake kama haya ni mawazo yake,sitashangaa mambo ya kuwaza kwa kutumia masaburi yakianza...so,please,lets hear youuuuuuuuuuuuuuuuu

Back
Top Bottom