Huyu alitaka kufanana na Beyonce lakini ikala kwake!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Huyu alitaka kufanana na Beyonce lakini ikala kwake!
Beyonce 1.jpg
 
dah..tumshukuru mungu kwa kila alichotuumba nacho,..this makes me love me even more....
 
Aisee akamfungulie mashtaka huyo Dr, sijui alikuwa on training...
 
sio wadada tu bana, vipi kuhusu hayati Michael Jackson,,,,,,mnatuonea bana, halafu sio wote ni yeye tu na wengine wachache kama yeye....
Kweli imekula kwake!! hawa dada zetu bwana, wanadhani aliyewaumba ni mjingaa!!??
 
Back
Top Bottom