Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia CCM

....should aaiiii say yes... should aaiiii say noooo.. I should say Noooo..
 
Mimi nitaisifia ccm kwakuwa nina akili na wewe na nguchiro wenzio endeleeni kulalamika na hakuna chochote mtakachopata zaidi ya kupiga kelele kama za wapiga debe mateja wa kinondoni ccm ndiyo chama bora africa kukingoa madakarani ni hadi mwisho wa dunia

"Mimi nitaisifia ccm kwakuwa nina akili......"


Una haki mkuu ya kuisifia CCM maana una akili lakini ungetupa wakati mgumu kuamini maneno yako kama ungekuwa na akili TIMAMU kwani ........"huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia CCM na viongozi wake.....". Ukiukosa utimamu katika akili hata huelewi unachosoma na unachoandika nini. AaaaaaaaaaH!!

Kwa heri!!
 
Back
Top Bottom