Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia CCM

Hata UNICEF watu wanalipwa sasa bunge ndio imekuwa kanisa watu wasilipwe?wewe acha kelele za kinafiki.
 
acha lawama wewe.Kodi yenyewe unalipa kidunchu alafu unataka maendeleo.Mtoto uzae wewe wakusomeshee wenzio hata haya huna.We wakuja nini?????
 
Katika kulinda interest zao ni lazima kuhakikisha wanaandelea kuhakikisha kuwa "ignorance capital" juu ya Watanzania haivurugwi. Lakini muda hauko upande wao.
 
Ndio, nakubaliana nawe, lazima uwe na akili ya tumbo sio ya kichwani.
 
UNICEF ni kitu kingine hapa tunazungumzia Tanzania, kwanini ulipe watu pesa nyingi namna hiyo wakati kuna vitu nyeti vinahitaji kufanyiwa kazi. Plus wananunua ma-VX kila. Mwaka, we have to prioritize, huwezi kulipwa posho namna hiyo huku qatoto wanasomea mwembeni. We ni mmoja kati ya wasio na kili timamu wanaosemwa hapa.
Hata UNICEF watu wanalipwa sasa bunge ndio imekuwa kanisa watu wasilipwe?wewe acha kelele za kinafiki.
 
acha lawama wewe.Kodi yenyewe unalipa kidunchu alafu unataka maendeleo.Mtoto uzae wewe wakusomeshee wenzio hata haya huna.We wakuja nini?????


he makubwa haya, na we watokea nchi gani ndugu kwa kuwa siyo mwenzetu nakuuliza hivi "Where are you from"
 
Hakuna chama kilichofanya vioja wakati wa uchaguzi mkuu kama CCM, kila mtu alitaka aingie bungeni , sisi hohehahe tukawa tunajiuliza hivi huko bungeni kuna nini hata watu wakeshe wakigawa khanga, vitenge, fedha taslimu, n.k. Jibu haikuweza kupatikana mara moja.

Loo! Kumbe bungeni kuna ulaji wa nguvu; kuna mshahara mnono, posho za kutosha na marupurupu mengine mengi tu! Haa Kumbe CCM ndio zao walikuwa wakipigana vikumbo ili mwenye nguvu aifikie mana hii adimu.

Leo lazima wawe mbogo endapo watalazimishwa posho zifutwe kwani kilichowapeleka bungeni ni hicho hivyo vision zao zitashindwa kutimia! Ni wazi kuwa wengi wa wabunge wetu walio wengi (includinga baadhi ya wapinzani) wako kwa maslahi yao, lakini walipoomba kura walijinasibu kuwa watawatumikia wananchi. Mtu mwenye akili zake atajua wazi kuwa atapanyaye yuko kinyume cha yule akusanyaye. Kazi ni kwetu wa TZ hapo 2015, uamuzi ni wetu.
 
acha lawama wewe.Kodi yenyewe unalipa kidunchu alafu unataka maendeleo.Mtoto uzae wewe wakusomeshee wenzio hata haya huna.We wakuja nini?????

kidogo kidogo hujaza kibaba hizi hizi kidogo ndio zimekuwa nyingi hadi mnatuibia na kujenga majumba kama huna hoja ya msingi kaa kimya hata kama wakuja itakusaidia nini?
 
unga robo wageni wa nini ..... haki ya mungu hizo posho tugawane watanzania wote kwani kila mtu ana kazi zake na biashara zake ... ukizingatia pia mambo muhimu ya maendeleo ya nchi watanzania wenyewe wanajihusisha kuleta changamoto .... hizi posho na kila mtanzania mvuja jasho wanastahili kupewa
 
Back
Top Bottom