Huwezi kusali bila kumlani Shetani

Bado Kidogo 2015

JF-Expert Member
May 24, 2012
207
78
Akiongea katika mkutano uliofanyika leo Jangwani mwenyekiti wa CDM mkoa wa Tabora alitoa mpya kwa kusema kamwe CDM haitaacha kuisema CCM na serikali yake kwani inafanana na muumini ambaye atasali kisha asimlani shetani!!!!

Huku akishangiliwa na umati wa watu uliohudhuria mkutano huo, mwenyekiti huyo alikuwa akitoa ufafanuzi wa baadhi wa makamanda wa polisi ambao huwataka wanapohutubia mikutano basi wasiiseme vibaya serikali.

Huyo mwenyekiti wa CDM amenifurahisha sana kwa kusema ukweli bila kuremba makamanda wa polisi ambao wanafikiri watu wanapozunguka mikoani wanacheza makida makida.

Ni lazima watu wakosoe ili mapungufu hayo yajulikane kwa wananchi.

Kwa mantiki ile CCM ni kama pepo baya au shetani!!!!!

Nimeona tujikumbe kwa hili leo lililojiri uwanja wa CDM Square.
 
Na kweli aiseeee hawa jamaa siyo watu wazuri hawatutakii mema ni bora wamepewa fact kuwa saizi siyo wakati wa kucheza na kima.
 
hao polisi wambea sana wanataka vp serikali isikosolewe.wenyewe wana hali mbaya nawashangaa kufata mkumbo wanaishi maisha duni sana sijui hawa jamaa hawajui haki zao
 
Back
Top Bottom