huwezi kumlinganisha huyu rais na kikwete hata kidogo

kikwete anasema ni vigumu kupambana na rusha wa badala ya kusema atapambana nayo is a weak president in tanzania ever
 
Kikwete yeye riziwani wanakula rushwa atampambanaje na ruswa?
 
Mi ninachosikitika ni kwamba tunaelekea kumaliza miaka kumi bila kuwa na rais, hata akija mgeni akiona jinsi mambo yanavyoendeshwa atakuuliza uchaguzi wa rais mnafanya lini?
 
Kikwete alipoenda usa juzi juzi aliomba apewe mabilioni na ataitransform tanzania.Nadhani werema alipokuwa anaongea jana kwamba kuna vichwa vyenye nywele bila akili alikuwa anamaanisha vichwa kama hki toka kwa wenzetu wakweree.Kagame anasema angepewa nafasi achague nchi gani atawale afrika angechagua tz,maajab!
 
Jk ni sehemu ya rushwa kwa sababu ya udhaifu wa uongozi wake, unaosababishwa ama na yeye mwenyewe au na washauri wake, hivyo ni vigumu kuwa nia, sembuse kupambana na rushwa.
 
Back
Top Bottom