Huwezi amini yanayotokea hapa jioni hii

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Kongamano la new media marketing limeingiliwa na mgao waumeme yani nikituko cha mwaka nitawaeleza jamani wt
 
Walipaswa kuhakikisha kuna STAND BY Generator! Au walijisahau? Mimi nilidhani kwa kuwa ni British Council, wangeweka HATA INVERTER pale! Nini Generator?
 
Jamani umeme umewaka na mida hii Issa Michuzi au mfasi halisi wa ccm anatoa mada! Anachekesha tu eti anasema anajua kuwa jf tutamchana tu
 
Sioni tatizo la ajabu,hao ni watanzania na mgao uko Tanzania sasa issue ni nini? au U-FIRST CLASS TANZANIAN !!....
 
Back
Top Bottom