Huwezi amini Polisi wa barabarani

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Mara kwa mara tunashangaa polisi ana kusimamisha na anakuambia bima ya gari
imeisha au road tax.
Unajiuliza ameota vipi?
Kumbe wanawatumia machinga wa barabarani kuwapa habari kwa kutumia simu
kisha yeye polisi anakupiga mkono mbele,Yani wafundishwa hata kujua bima feki.
Hii ni balaa.
 
Kajipange upya hii umeitunga haijakaa sawa sawa
 
Speeking of trafic,

Jamani natafuta email address ya trafic makao makuu, kwenye anuani yao niliyonayo wana P.O.Box tu na mimi nina mambo kibao ya kutuma kwa email, pobox muda sina wa kuandika barua.

Mwenye email address ya trafic makao makuu msaada kwenye tuta tafadhali, ikishindikana hata simu yao.
 
Mara kwa mara tunashangaa polisi ana kusimamisha na anakuambia bima ya gari
imeisha au road tax.
Unajiuliza ameota vipi?
Kumbe wanawatumia machinga wa barabarani kuwapa habari kwa kutumia simu
kisha yeye polisi anakupiga mkono mbele,Yani wafundishwa hata kujua bima feki.
Hii ni balaa.

sasa wewe ulitaka utembee na road licence imeisha au feki barabarani usipigwe mkono?
safi sana polisi
 
kwa nini usikate bima?unanunua gari huna uwezo wa kulihudumia paki utupunguzie foleni
 
Mfano bima au tax ni rahisi sana kusahau.
Na siyo hivyo tu inaweza ikawa site mirror imevunjika au kuibiwa,yakikukuta ndipo utaelewa
 
Back
Top Bottom