Huwa wanawaona kama malaika!

vukani

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
245
165
Wanaume wote ambao huenda baa kunywa na kulewa wana sifa moja kubwa ambayo kila mmoja kati yao anadhani ni yeye peke yake aliye nayo.

Wote kati yao huwa wanawaona wahudumu wa baa kama vinyago kwa ubaya wakati wanapoingia, lakini muda mfupi kabla ya kutoka huwa wanawaona wahudumu hao kama malaika kwa uzuri.
 
dada vukani mtu mzuri ni mzuri tu, utamwona na utamjua iwe ni wakati wa kuingia wala wa kutoka................ kweli maeneo hayo uliyozungumzia kuna viumbe wameumbika..............
 
Vukani, si pombe kuna ma baa medi wameumbika kisawasawa, mwanaume mkamilifu lazima uhamie kunywea kwenye ile baa na si bia tu unaweza kukuta njemba linakunywa maji au soda tucheki mzigo - tofauti yao hawana elimu tu na uelewa wao ni mdogo - sasa ukiongea nao unaenjoy 'cause they do know so many things to urgue. nyie mliosoma mnasumbua sumbua sana - hawa wanajua ku-care and they know how to treat a man.

Message kwa wanawake mlioolewa- please do your duty otherwise ni kwishinei - jamaa akienda akirudi matairi yote hayana upepo.

Vukani nitafute nikupeleke nikuonyeshe baadhi tu uhakikishe mwenyewe!
 
Nitakutafuta, kaka, shaka ondoa, kwani nadhani nitakuwa na wakati muafaka kufanya dodoso juu ya mazingira ya kazi yao.
Huwa napenda sana udadisi......
 
Back
Top Bottom