Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Mwache basi amalize KIU yake!!
we kigarama kiu ya mabusu huwa haiishi.
Mwache basi amalize KIU yake!!
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO.
Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani au wakati wa kuagana mmoja wenu anaposafiri, hujenga mahusiano Imara sana. Busu limechukuliwa kama ni dawa (Remedy) ya kufufua uhusiano unaofifia fifia.
Je wewe huwa UNAMBUSU Mpenzio??
Au na mikono yake nayo inachezea sehemu nyingine??
Mrembo kiss na shabhan hapa! Naumwa ila ukini kiss
wallah nitapona.
Sasa mikono yako mbona inatetemeka mpaka unashindwa kuandika vizuri, au french kiss imekumaliza?
hata maliwato?
hahaha! Duh, kukisi si kazi ndogo. Huoni hamisi anaomba maji. Halafu nataka kumbusu preta, inaruhusiwa?
Heheheheee ukimbusu Preta basi na Hamisi naye atakuwa kambusu Preta
hahaha! Duh, kukisi si kazi ndogo. Huoni hamisi anaomba maji. Halafu nataka kumbusu preta, inaruhusiwa?
Heheheheee ukimbusu Preta basi na Hamisi naye atakuwa kambusu Preta
ha!....hebu ngoja nisubiri.......
ayaaaaa........
Si afundishwe ili asiwajaze watu mate mdomoni!??