MadameX
JF-Expert Member
- Dec 27, 2009
- 7,792
- 3,848
madamex mlango unasaidia nini?
Labda hausaidii lakini atleast hamuonani maana mdada anashindwa kwa ajili ya aibu
madamex mlango unasaidia nini?
mkuu,mayb nlikosea kueleza,ni hivi ni chumba chenye self ya kishkaji,yan choo na bafu viko sehemu moja,so ukitaka kuoga au kukata gogo ni humo humo,sasa huwa tuna kawaida ya kuoga wote,ila mwenzangu ndio hivo tena naweza nikawa naoga yeye anakata gogo hapo pembeni bila hata kunionea aibu!

sawa kwa ufafanuziLabda hausaidii lakini atleast hamuonani maana mdada anashindwa kwa ajili ya aibu
Siyo kila kitu nicha kupost!
Akili tunazo, matumizi hatuyajui.
Hivi ni ushauri gani hapo unautegemea?
Mnafanya tuamini hakuna sifa za kuoa, yan hadi swala la toilet unataka ushauri?
Nafikiri ni vizuri ukatafakari kabla ya kuweka uzi.
Wakuu,mimi nina tatizo moja,chumba changu ni self{yani kina choo na bafu humo humo}tatizo ni kwamba,huwa siwezi kukata gogo mbele ya mpenzi wangu,lakn mwenzangu yeye naona hata huwa hajali,anaweza aingie ashushe mzigo wake hapo na vijambo juu lakini mim nimeshndwa kabisa,nahisi aibu!nishaurini nin cha kufanya jaman.