Huwa nawahurumia sana kinadada ambao wadogo zao wanaolewa wao bado wanang'aa macho

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Na wakati mwingine utawakuta wanapewa tu mimba na kuendeleza umoja wa single mothers, lakini wadogo zao ni ndoa mwendo mdundo.

Lingine linalonishangaza ni wale wadada (27+) wanaohudhuria na kushiriki Harusi za wengine (marafiki zao) huku wao bado ni Divas...how is this possible on good earth??? teh teh teh
 
Teh amesahau kila jambo na wakati wake....kutangulia sio inshu cha msingi ni kupata chema....

Ila dah mpunguze hizo fujo kidogo za kuvimbisha vigimbi
Hahaha jamani kila mtu ana muda wake Mungu aliomuandalia. In the meantime wacha tufurahie baraka za wengine wakiolewa

Mmh hapo pa fujo ngoja tufikirie Kwanza. Ile ni platform ya kuonekana ujue (kidding lol)
 
Hahaha jamani kila mtu ana muda wake Mungu aliomuandalia. In the meantime wacha tufurahie baraka za wengine wakiolewa

Mmh hapo pa fujo ngoja tufikirie Kwanza. Ile ni platform ya kuonekana ujue (kidding lol)
Teh kumbe ni platform ya exposure......

Itabidi nianze kuangalia angalia....naweza kupatemo....
 
Kwani ndoa ni lazima?

Kwani kila mtu anataka kuwepo kwenye ndoa?

Kwani bila ndoa maisha hayaendi?

Kwani ndoa ni hukumu ya kifo?

Na hata kama ingekuwa ni hukumu ya kifo, kwani ukiwa kwenye ndoa ndo hutakufa?

1. Sociology inasema ndoa ilitokana na maendeleo ya binadamu kutoka jamii ya uwindaji mpaka kufikia ufugaji na kuanza kumiliki mifugo na ardhi, hatimae binadamu alianza kufikiria mtu wa kurithi mali alizonazo, ilibidi aoe awe baba wa familia.

2. Kwasababu imekwisha kuwa desturi ya mila, usipoa au kuolewa unaonekana tofauti katika jamii.

3. Ndoa si hukumu ya kifo lakini jamii inakufanya ujione hujakamilika bila ndoa.

4. Wote tutakufa na kama maandiko matakatifu yanavyosem, mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.
 
Back
Top Bottom