Huwa najiuliza....hili swali.....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Kila mara unapoona masuala ya mashindano ya urembo,kuna kitu kimoja
huwa najiuliza sana....

kwanza wahusika karibu wote ni wanaume watu wazima wenye wake na watoto..

hapa namaanisha waandaji,mapromota na hasa ile kamati ya Lundenga..

sasa huwa najaribu kupata picha ile siku ambayo mtu alikaa chini na kumwambia mkewe...

mfano....mke wa ngu kuna 'deal ' nimepata..nimechaguliwa kuwa mwanakamati wa Miss Tanzania...

au nimefanikiwa kushinda na kuwa muuandaji wa 'Miss Kinondoni....

au kampuni yetu inadhamini Miss Tanzania na leo tunaenda kambini kuwatembelea...

au hawa jamaa wote wake zao huwa wanashtukia tu habari kwenye ma TV kama sisi?????

wanayazungumza vipi haya mambo majumbani?

na wake zao 'honestly wanakuwa na sura ipi???hata kama hawapingi wakati wanapata taarifa??????

nahisi kuna 'uhondo' tunaukosa lol

au mtu akikutana na 'wakwe na in laws' unawaelezaje kuhusu shughuli zako?????

au mwanamke ambae mumewe ni 'promota wa urembo' anazungumza vipi kwa wenzake???
 
mbona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
 
kwa kweli namsubiri Nyumba kubwa na Dena Amsi hapa halafu utaona watakachosema ...lol
 
.ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney

kwa hiyo memsapu aishia kuhongwa ili afunge bakuli lake?
 
mbona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
Kuna wanawake vichwa ngumu sana huwa hawanunui story za namna hii, hata apewe milioni anachukua na bado anapiga biti la kufa mtu, kuna rafiki angu mumewe anafanya kampuni ambayo ilidhamini umiss, alichaguliwa eti awe jaji looo mbona palikuwa hapatoshi, mke alimwambia kuwa jaji ukimaliza hiyo kazi mimi na wewe ndio basi alikataa katakata, mpaka ofisi ikachagua mtu mwingine, mamiss wenyewe wamepinda namna hii, msichana akishiriki miss tu ndoto yake ni kuendesha gari lile, akilikosa yuko tayari afanye uchangu na vibosile apate hata kivits chake, sasa hapo waume wanaponaje kweli na hawa wanaojipeleka wenyewe je kwa kigezo cha udhamini na usimamizi ndio wanakuwa wa kwanza kubebwa
 
mbona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
dah,uko vizuri kwa uongo
 
kaka,mambo ya ndoa kwakweli wanayaweza wanandoa!!inabidi akubali hali tu kwani ndio inamnunulia wax na mengineyo
 
Hiyo kazi ilipaswa kufanywa na ma bachelor si waume za watu. Bora tufe njaa.

Mimi kuna vitu sifagilii including u miss. Sijawahi na sitawahi kwenda kuangalia haya mashindano na mume wangu. Kha; yani tupozi kabisa tunaangalia uzuri wa mabinti mimi na mume wangu afu anashangilia "yule mzuri mwangalie macho, mwangalie miguu, mwone anavyoongea" tutaishia kugombana. Sina uvumilivu kwenye kumsikia mume wangu anamsifia mwanamke yeyote. Asifie kimoyo moyo nisijue.

Haya ni mambo ya vijana bwana.
 
...and thats Destiny. Nimeipenda hii
 
Aisee watu wanatofautiana!!!

Maana mimi mke wangu inabidi nimkumbushe mara mbil mbili siku Sikinde wana shoo, au siku anakuja mzee wa kitambaa cheupe... Lakini mashindano ya u-miss napewaga taarifa wiki kadhaa kabla, na nikigoma kwenda nae atapiga mgomo wa mtoko miezi 3... Tukifika yeye ndo wa kwanza kunionyesha wazuri na kuwachambua, na huwa hadi tuna-bet kama utabiri wetu kwa mshindi utakuwa tofauti...
 
Mkuu Boss,
wao na wake zao wanajuana, wana Tabia zinazofanana na wamekubaliana

ni kama vile Mchungaji na Mama Mchungaji
 
Lakini pia inategemea wife alikukutaje kipindi cha mwanzo, pia kama ukweli ni kwamba hyo bzness ndo inaweka msosi mezani hapo ni lazima wife akubali na utamwambia kwa raha zote na mtasheherekea wote kwa kupata hyo "deal" sababu wanasema pesa hainuki bana lol...
 
Aisee watu wanatofautiana!!!

Maana mimi mke wangu inabidi nimkumbushe mara mbil mbili siku Sikinde wana shoo, au siku anakuja mzee wa kitambaa cheupe... Lakini mashindano ya u-miss napewaga taarifa wiki kadhaa kabla, na nikigoma kwenda nae atapiga mgomo wa mtoko miezi 3... Tukifika yeye ndo wa kwanza kunionyesha wazuri na kuwachambua, na huwa hadi tuna-bet kama utabiri wetu kwa mshindi utakuwa tofauti...

Kweli Mzazi wife wako nmemkubali...
Hapo pia kuna suala la jinsi mnavyojuana na Mamaa toka awali. Hebu tupe picha wewe ndio zingekuwa ni bzness zako hzo? Hapo mixer Mamaa ndo angekuwa anafukuzia tender na kuwa-robby wakina Lundenga...
Hahahaha
 
Hiyo kazi ilipaswa kufanywa na ma bachelor si waume za watu. Bora tufe njaa.

Mimi kuna vitu sifagilii including u miss. Sijawahi na sitawahi kwenda kuangalia haya mashindano na mume wangu. Kha; yani tupozi kabisa tunaangalia uzuri wa mabinti mimi na mume wangu afu anashangilia "yule mzuri mwangalie macho, mwangalie miguu, mwone anavyoongea" tutaishia kugombana. Sina uvumilivu kwenye kumsikia mume wangu anamsifia mwanamke yeyote. Asifie kimoyo moyo nisijue.

Haya ni mambo ya vijana bwana.

hata kama kwa nafasi ya mume wako kiofisi,anapaswa kwenda kutembelea kambi ya Miss Tanzania...?
mfano mkurugenzi wa kampuni inayodhamini??????
 
Aisee watu wanatofautiana!!!

Maana mimi mke wangu inabidi nimkumbushe mara mbil mbili siku Sikinde wana shoo, au siku anakuja mzee wa kitambaa cheupe... Lakini mashindano ya u-miss napewaga taarifa wiki kadhaa kabla, na nikigoma kwenda nae atapiga mgomo wa mtoko miezi 3... Tukifika yeye ndo wa kwanza kunionyesha wazuri na kuwachambua, na huwa hadi tuna-bet kama utabiri wetu kwa mshindi utakuwa tofauti...

una raha saana aisee
 
Back
Top Bottom