Huu wizi wa airtel utatumaliza

murid

Member
Jul 21, 2010
44
3
Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.
 
Kwa hiyo usaidiweje kwenye thread yko peleka malalamiko yako eartel au porisi
 
listen yasser cjui yatha! he is speakn his mind, kama huna cha ku text, u betta stay quite.
 
Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.

Uko sahihi mkuu airtel ni wezi wakubwa! mimi nliunganisha MB400 J'5 Mida ya saa sita mchana kufikia saa8 mchana MB400 kwishney, cha ajabu ni kwamba nlichokuwa nafanya ni kusoma habari JF.. Nimepiga cm customer care mpaka nimechoka, nikipiga naishia kupewa namba ya utambulisho na kwamba tatizo langu linashughulikiwa na kwamba ntapigiwa cm, nimepewa namba za utambulisho mara 3 na hakuna utatuzi wa shida yangu.. mpaka sasa hivi sijapigiwa cm. Hivo
nathibitisha kuwa airtel ni majizi tena sina hamu nao
 
Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.

Kwa nini unalalamika kuendelea kutumia mtandao unaokuibia na wewe ni Mwizi pia hamia mitandao mingine
 
Yani ni wezi walioshindikana,mimi niliweka MB 400 niliingia tu jf,hata lisaa halikuisha,MB kwishney...nikaenda mcity airtel wakaniambia eti ofa iyo imeisha,sasa kwa nini wanakubali kukuunganisha wakati ofa imeisha..shame on u Airtel
 
Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.

Nimesha sikia kutoka kwa jamaa zangu kuwa bundle kwa njia ya sms(400MB, Tsh 2500/=) ni mahsusi kwa ajili internet kwenye simu.Hivyo ukiweka kwenye modem hasa kwa shughuli za kupakua inakwisha very fast.Wanasema bundle za modem ni kupita *154*44#. Tusaidiane kutafiti hoja hii.
 
Jamani mbona mitandao ipo mingi tuu na unaruhusiwa kujiunga na wowote na kwa muda wowote.
 
Mkuu itakua kuna automatic updates either za windows au anti virus zinafanya kazi, hvyo kula bundle nyingi. Kama una simu jaribu kudownload nyimbo halafu uone kama watakata.
 
Kwa hiyo usaidiweje kwenye thread yko peleka malalamiko yako eartel au porisi[/QUOTE
hapo kwenye red mimi nina shaka nawe Yasser. Hiyo eartel ni kampuni mpya au?hata kama ni spelling errors zako zimezidi ndugu,porisi au POLISI? usikurupuke ilimradi umechangia thread.
 
Mkuu itakua kuna automatic updates either za windows au anti virus zinafanya kazi, hvyo kula bundle nyingi. Kama una simu jaribu kudownload nyimbo halafu uone kama watakata.

nina fikra hizi hizu..mwenye thread hebu crosscheck setting zako.
 
Back
Top Bottom