Elections 2010 Huu uvumi vipi!??

Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,933
1,510
Nimepata mail hiyo hapo chini nani anaweza kunidhibitishia ni saidieni wakuu sababu pressure inapanda nakushuka







Kikwete apewa report ya kura za Slaa

Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
 
yah yaweza kuwa sahihi kuna mtu alileta hii habari siku kadhaa nyuma ,

changanya na habari ya aliyopata Slaa ya mbinu za CCM kutumia wakuu wamikoa ,wilaya na wakurungezi plus polisi kuhakikisha wanashinda .
Ila wapi si CCM wotewako loyal kwa kikwete ,he is weak kwanzakawatukananisha sana kutumia familia yake ,na nadhani kuna baadhi watafulahi CCM kumuuangukia mikononi mwake .
Ingawa kuwa makini wapinzani familia hii ina uju unaweza kuta Ridhiwani akageuka mkuu wa jeshi la polisi .
 
Ni kweli sababu hata kwenye mitandao inaonyesha Slaa kashinda!!
 
Hii mbona ishaletwa hapa jana au juzi kama thread? zunguka jamvini utaiona!
 
Ndo maana jamaa kwenye kampeni zake utaona hana raha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ashajua mwaka huu ni kiama kwake
 
Na maneno yake yale ya mipasho yamekwisha kabisaa!
 
kama mbayuwayu hahahaha Mheshimiwa anamaneno kama ya Shaban Robert hapo ndo napompendea mimi!!!
 
Ndo maana jamaa kwenye kampeni zake utaona hana raha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ashajua mwaka huu ni kiama kwake

Mkuu, hayo ndiyo matokeo ya uongozi wa kiujanjaujanja au wengi wasemavyo usanii!
Uraisi ni taasisi kubwa na nyeti..inahitaji uwezo, hekima na uadilifu wa hali ya juu.
 
Ukiona mwanasiasa yeyote anaeomba kura anaanza kuimba na kucheza ngoma kwenye majukwaa ujue mambo ni mazito kwa upande wake!!
 
Hii inaweza kuwa na effect yoyote kwenye vyombo Habari maana kuna baadhi vimeanza kutoa habari za Dk Slaa kwa mapana tofauti na mwanzo wa kampeni? Mfano TCB1 jana wametoa habari ndefu ya Dk akiwa Moshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom