Huu uume una nini tena?

Huyo alienda kwa babu akaambiwa alete uume lol, pole sana kwa kidume aliyekatwa pipe, huyo ndo kwishnei tena!
 
kwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!

wewe unaonaje, unapenda kuwa na kidume kilichokata centre bolt?
 
kwa hiyo mnamaanisha mwanaume akikata center bolt ama network ikikata ana-cease kuwa mwanaume? mi nilidhani ndo atapendwa zaidi na mkewe manake hata ule wasiwasi wa kuibiwa unaisha!
Huyo mkewe atakuwa hataki huduma??
 
Hii dunia, kweli hujafa hujaumbika. Shetani kachukua nafasi kubwa sana miongoni mwa wanajamii.
 
Mwanamke huyo alitafuta namna ya kumkomesha mme wake ili aanze umalaya bila kuingiliwa wala kufuatiliwa na aliyekuwa mme wake ambaye sasa hawezi kumuita mme wake.
 
inategemea alikuwa na umri gani. kama alishamaliza uzazi, basi anaweza endelea na maisha yake kama kawaida...anabaki na kikojoleo tu. sio lazima kusex kwenye maisha. maisha yana vitu vingi zaidi ya sex na naamini kama mwanaume naweza furahia maisha bila kuhangaika na sex kihivyo. ila ntakuwa na machungu tu kama ambavyo ntakuwa nayo nikatwapo mkono au mguu nk.
 
biblia inasema ni bora uingie mbinguni ukiwa na viungo nusu kuliko kung'ang'ania kiungo kinachokuingiza dhambini...kumbe tunaweza kata ndume zetu kama ndo zinatuingiza dhambini ili tuishie peponi!
 
Back
Top Bottom