huu utalii we unaweza kufanya kweli?

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
mmh kweli wa2 wanabip kifo asa hilo geti likifunguka

312589_283853381653417_181683048537118_807302_514195340_n.jpg
 
Duh! Hii ni zaidi ya hatari.
Ila ni ubunifu kwa huyo mwenye hiyo kampuni ya utalii. Kampuni yake inafanya kitu ambacho sio makampuni mengi yanafanya. Hivyo kwa watalii mwenye kupenda more than adventure and leisure, hiyo ni nafasi yao kujiachia.
 
Mwenye kampuni tutamwita enovetor wa ukweli 7bu haijawahi kutokea kampuni yoyote kufanya kitu kama hiki
 
ha ha ha haaa!! Wamechoka kuishi hao. wanambip Mungu...!! We ngoja tu na Mungu huwa hakopeshi...atawapigia sasa hivi
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivi hapo imetokea la kutokea mara kakufuli kameachia si ndio mwanza wa kumsalimia kaka simba, ........kaka simba shikamoo...
 
watu tunatest mambo ya hatari lakini jamani..! haya ile lock ya mlango pale ifyatuke.! hee ndipo utakapo jua maharage ni dawa ya tumbo au ni mboga
 
Inaonesha hiyo ni open zoo, lakini jamaa ni mbunifu na anastahili sifa. Nyie kaeni tu na simba hapa, halafu mnalalamika fursa hakuna.
 
Back
Top Bottom