Huu upotoshaji umezidi sasa

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Serikali haina nia nzuri na wananchi wanaokosa huduma bora ya afya. kufuatia uongo na propadanda zinazofanywa na viongozi wa hii serikali wakidai mgomo umekwisha huku wakivinyamazisha vyombo vya habari.
Nina mdogo wangu anasoma muhimbili kanieleza hakuna huduma yoyote na ile habari iliyoonyeshwa mtu akiwa thieter ni ya kutengeneza na huyo aliyeonekana kama mgonjwa ni mfagiaji hapo muhimbili. tunaelekea wapi jamani?
 
serikali ni dhaifu na nikwasababu ya upuuzi wa ccm na wabunge wetu.
 
Hiyo ndo CCM bwana. Sijuhi wanafanya hivyo kwa faida ya nani. Alafu Pinda kesho akienda kanisani anapokea!!!
 
Hivi Raisi anawashauri kweli?... i doubt... toka lini mkanda wa jeshi hutibiwa kwa kufunika kidonda!!!?
 
Kinachofanywa na serikali dhaifu ni kama "kupima kanzu umechuchumaa ukidhani unamkomoa fundi".
 
najua ile habari ni ya kutunga!
Madaktari watoe video yao kuonyesha uhalisia
 
hii serikali hakuna wanaloliweza kwa sababu hata ya kuua nalo wemeshindwa ambayo ndiyo ilikuwa kazi waliyokuwa wanaiweza zaidi..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom