huu Unyam wa hawa wanao amini imani potofu utakwisha lni? kwetu kuna Serikali kweli?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
P26103081.JPG

P2610312.JPG

Msichana Kulwa Lusana ( 16 ) mwenye ulemavu wa ngozi (Albino ) mkazi wa kijiji cha Mbizi, Kata mpya ya Mbega iliyozaliwa kutoka Kata ya Segese wilayani Kahama mkoani Shinyanga, akiwa amelazwa katika wodi ya majeruhi katika hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kufanyiwa ukatili na unyama kwa kukatwa mkono wake wa kulia saa saba usiku wa kuamikia Jumamosi, Oktoba 22 mwaka huu akiwa amelala nyumbani kwa wazazi wake na watu wasiojulikana ambao waliondoka na mkono wake. Picha na Alli Lityawi.

Wana bahati sana hao wanyama wanaofanya huo ukatili. Wana bahati kwa sababu mimi si mwenye mamlaka ya kuamua nini wafanyiwe.

Walahi tena ningekuwa na mamlaka hayo.....dunia nzima ingenisikia.
 
Wana bahati sana hao wanyama wanaofanya huo ukatili. Wana bahati kwa sababu mimi si mwenye mamlaka ya kuamua nini wafanyiwe.

Walahi tena ningekuwa na mamlaka hayo.....dunia nzima ingenisikia.
hata mimi ningelikuwa Rais wa hii nchi kila anaye fanya huu unyama wa kumkata Albino Mkono na yeye angelikatwa huo Mkono jicho kwa jicho pua kwa pua jino kwa jino
 
hata mimi ningelikuwa rais wa nchi kila naye fanya huu unyam wa kumkata albino mkono na yeye angelikatwa huo mkono jicho kwa jicho pua kwa pua jino kwa jino

Ni hivi; ukimkata mkono albino sisi tunakata yako yote. Ukimkata yote miwili sisi tunakata yako miwili pamoja na miguu yako.

Dawa yao hao wakatili ni kuwafanyia ukatili maradufu.
 
Serikali gani itakayo fanya hivyo mkuu?

Serikali inayojali watu wake ingefanya hivyo. Ingekuwa kali kupitiliza katika kutoa adhabu dhidi ya hao wakatili.

Lakini kwa serikali tuliyonayo usitegemee la maana. Kwanza usitegemee lolote lile.
 
Wana bahati sana hao wanyama wanaofanya huo ukatili. Wana bahati kwa sababu mimi si mwenye mamlaka ya kuamua nini wafanyiwe.

Walahi tena ningekuwa na mamlaka hayo.....dunia nzima ingenisikia.
Ndiyo maana siyo kiongozi mpaka leo.
 
Ni hivi; ukimkata mkono albino sisi tunakata yako yote. Ukimkata yote miwili sisi tunakata yako miwili pamoja na miguu yako.

Dawa yao hao wakatili ni kuwafanyia ukatili maradufu.

Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini mimi nasema kama itatokea siku moja nikakutana na mtu kamkata albino mkono, naomba radhi kabisa kwa wanadamu wote ulimwenguni kwa sababu nitakachomfanya hakuna tv hata moja dunian haitatangaza habari hiyo. Na mimi ndio ntahukumiwa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom