Huu ulikuwa ugojwa gani?-wanaume.

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,398
kuna kipindi fulani nyuma nilipatwa na kidonda sehemu ya mbele ya umme wangu,japo maumivu yalikuwa kidogo sana,baada ya mda nilikwenda Hosp.Doctor aliniambia ni magojwa ya ngono ,lakini mie linilibisha sababu sikuwa nimefanya ngono kwa kipindi kirefu..basi Doctor alichukua vipimo wakapima hawakuona kama ni ugojwa wa ngono akaniambia yawezekana labda kuna shida kwenye upimaji kwa sababu dalili ilikuwa inaonyesha ni ugojwa wa gono..akanimabia niende kwenye Hosp.nyingine nikafanya hivyo napo hakikuonekana kuwa ni ugojwa wa gono..Doctor aliniambia nichague dawa ya kumeza au nipigwe sindano..nikachukua dawa za kumeza nikasepa..baada ya siku 4 nikapona(kilikauka)..lakini mpaka sasa huwa najiuliza kile kidonda kilikuwa ni ugojwa gani au ilikuwa gono doctor akutaka kuniambia..na kama nikidonda cha kwaida kwa nini kitokee sehemu nyeti namna ile?
 
huwa kuna ugonjwa unasababishwa na mafuta ya nazi inawezekana ulijipaka uko na kama unataka maelezo zaidi we google halafu angalia kwenye forums za madaktari..
 
Ujue magonjwa mengine ya zinaa husabashawa hata ktk vyoo hasa vya kukaa na kushea nguo na mtu aliyeambukizwa
 
labda kama ni bikira,inawezekana ni ugonjwa wa zinaa ambao uliupata siku nyingi....
 
mbona vipimo bado vyote havikuonyesha ugojwa wa zinaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom