Huu ukatili hadi lini???

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,760
573
jamani nimekutana na hii picha ambayo sikuamini macho yangu kwenye facebook ya human rights, ambayo kuna video ya kuoyesha mwanamke ambaye kakatwa katwa na mapanga kwa madai ya kumyima mume unyumba ,, imetokea sumbawanga , huyo dada anaitwa Grace senga mkazi wa sumbawanga .. jamani hivi kweli watu tumefikia hatua hii .... nimejaribu kudownload clip nimeshindwa ila kuna link hapo waweza kujionea huo ukatili

ukatili.jpeg
mhanga wa tukio.jpg

Legal and Human Rights Centre | Facebook
 
Mungu wangu......hiyo sababu haiendani na adhabu ..Mungu amponye kwa haraka
 
kwa hiyo baada ya kufanya hayo yote huyo jibaba jambazi alipata nini?

MY take: alitakiwa kupigwa mawe hadi kufa huyo mwanamume
 
Khaaaa. . . picha nyingine muwe mnaweka warning jamani. Nimekosa hata nguvu ya kusoma yaliyojiri.
 
inasikitisha sana tumekosa utu kwa kweli ... maana inaumiza sana
 
OMG! Kunyimwa nanihii tu ndo afanye ukatili wote huo?hivi alikua anampenda kweli??
 
Khaaaa. . . picha nyingine muwe mnaweka warning jamani. Nimekosa hata nguvu ya kusoma yaliyojiri.

lizzy niwie radhi kwa picha lakin ni vyema walau kuweza kuupata uhalisia
 
Father, Father, Father help us
Send us some guidance from above
'Cause people got me, got me questionin'
Where is the love?

:confused2:
 
huyu bwana nae afanyiwe the same ili ajue maumivu yanakuwaje
hivi afrika tutaacha lini tabia ya kutawala wake na kuwaona kama chombo na sio binadamu?
wanawake msikubali kunyanyasika zama za kukaliwa kichwani na wanaume zimeshapita
sasa ni zama za usawa. huyu mhusika kwanza akatwe dudu yake ininginie ndo mengineyo yafuate kama mikono nayo ikatwe pia na mguu mmoja. kaniudhi sana.
 
Ukatili huu uko sehemu nyingi hapa Duniani, tukubali sio kitu kizuri kutoa adhabu mbaya kama hii kisa kunyimwa unyumba!!! wanawake wamejaa hii njemba ingetafta kwingne basi au ikamuuliza mama kwann ananyima maneno!!! pole sana mama...ingekua Tarime TBC wangeweka habari ya kwanza, ITV hivo hivo na kesho magazeti yangeipa coverage kubwa lakini hii ni sumbawanga inawezekana ikaishia humu tu...
 
it pain maana inakuwa kama mnyama na binadamu.
 
huyu bwana nae afanyiwe the same ili ajue maumivu yanakuwaje
hivi afrika tutaacha lini tabia ya kutawala wake na kuwaona kama chombo na sio binadamu?
wanawake msikubali kunyanyasika zama za kukaliwa kichwani na wanaume zimeshapita
sasa ni zama za usawa. huyu mhusika kwanza akatwe dudu yake ininginie ndo mengineyo yafuate kama mikono nayo ikatwe pia na mguu mmoja. kaniudhi sana.

Jino kwa jino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom