Pia wakati wa mvua traffic police wanaenda kuegama na pale eneo wanapo patikana kunakua na msongamano wa gari (I think)Naona wakati wa mvua magari yanakuwa na msongamano mkubwa sana
Je Kunauhusiano gani wa mvua na foleni?
Mvua ikinyesha, watu hugwaya kuingia barabarani, mara tu ikiacha, wote huingiza magari barabarani hence foleni. Pia wakati wa mvua madereva huendesha gari zao polepole... Nadhani sababu ya utelezi.
Huyu Juma ni mzee ana miaka karibu sabini lakini anataka aonekane kijana kwa kupaka nywele zake kitu inaitwa BLACK mwisho wake anakuwa KITUKO; USO ukekunjana lakini nywele nyeusi!!
Naona wakati wa mvua magari yanakuwa na msongamano mkubwa sana
Je Kunauhusiano gani wa mvua na foleni?