Huu u.b.w.e.g.e!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Kiasi cha tani 6 za pembe za ndovu kutoka nchi mbali mbali za afrika ikiwemo Tanzania ambazo zilikamatwa katika nchi mbali mbali huko ulaya na asia zitachomwa moto nchini kenya.iko namna hapa,kwa nini pembe zetu za ndovu za ndovu zichomewe kenya na si hapa kwetu TZ?Nina mashaka hazitachomwa,watazitumia wajuavyo.
 
Suala hapa si kuzichoma,kama ndovu/tembo wameuliwa nafikiri issue hapa ni kuziuza hizi pembe ili pesa itayopatikana itumike kuhudumia wananchi wenye njaa na zingine ziende kwenye fungu la kulinda wanyama pori wakiwemo hao tembo,........
 
Mkuu, tatizo wamechomea Kenya wangechomea Tanzania ungefurahia au tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom