Huu sio unafki?

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Wanajamvi nimesoma hotuba ya mkuu wa nchi, lakini nimestaajabu pale ye mwenyewe anapodai bado swala la matumizi makubwa linamsumbua, wakati huohuo yeye ndo amekuwa kinara wa matumizi mabaya, sasa la kujiuliza kuna wezekano figure za matumizi yake huwa zinaongezwa kwa manufaa ya watu flan? nikweli huwa hizo gharama za safari zake za kitalii hazijui, kwanini asiwemfano wa kuwa na matumizi mazuri kwanza!
Me naona huu ni unafki na kujikosha ama anatafuta huruma ya Wadanganyika.
 
Back
Top Bottom