huu sasa utani!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
Sheikh Yahya atabiri: Uchaguzi 2010 kutawaliwa makofi matupu

"Uchaguzi wa mwaka kesho ni wa makofi, hivyo viongozi wajiandae kwa hilo," alisema."

MTABIRI maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki, Sheikh Yahya Hussein ametabiri kuwa uchaguzi ujao utatawaliwa na makofi kwa viongozi kwa kuwa kofi alilopigwa rais mstaafu wa awamu ya tatu Ali Hassan Mwinyi ni baya na litajirudia kwa viongozi wengine

Chanzo; Mwananchi Read News

...dhihaka hizi!
 
hapo shehe kaisaidia serikali cha msingi ni kuagiza zile helment wanazovaa wachezaji wa football ya marekani, viongozi wakihutubia wanavaa zile,hii ndio dawa.
 
Shehe mwenyewe juzi tu alim-bipu Mungu, sasa anatoa utabiri huku akitoa shukurani kwa JK na BWM kumlipia gharama za matibabu India?
 
hapo shehe kaisaidia serikali cha msingi ni kuagiza zile helment wanazovaa wachezaji wa football ya marekani, viongozi wakihutubia wanavaa zile,hii ndio dawa.


ebwana weeee, kweli lakini...:D:D:D !!!!!!!
 
Ni kama Iraq siku hizi waandishi wa habari wanavua viatu nje kabla ya kuingia kwenye press conference.
 
Back
Top Bottom