Huu sasa siyo usanii ni ulimbukeni

Mpeleke mtoto shulee, apate elimu eee. Atafaidika na maisha yake.
 
Hakuna kitu hapo. Huku kwingine ni valley within a valley.
 
Biashara matangazo na kuwa na skills za marketing, ili ujipigie promo vizuri........., dodo zuri mrembo, nadhani kama embe itakuwa inatka tanga au mombasa kwa utamu......!

NB>, Muda wa w/ke kujidai na kujifanyia mauzo ni mdogo mno....., ni bora watumie muda wao vizuri, coz wakipigwa mbili CHINI......., tayari dodo zinakuwa NDALA, then wanakuwa worthless.

Nawasilisha...!
 
Nimeangalia hizo MEWATA za JINI na Aunt aisee kweli shule mwisho na aliyesema maadui wetu ni Umasikini, UJINGA na Maradhi angekomalia sana UJINGA maana huu ndio 100% ya wasanii wetu unawacost...mewata zenyewe hazisimami hadi awe anapiga deki ukizinyonya ni bora hata za ng'ombe zitasimama dah! shida ni Used sana hawa watu...yaani full screpa
 
attachment.php
naunga mkono hoja ni ulimbukeni mkuu

Nakubaliana........wengi wao hawajaelimika hata kama wamesoma, wakurupukaji, pretenders.....just to name a few
 
afisa masoko wake ni nani,,, Naona anajitahidi kumtafutia soko sijui humu wanapatikana?
 
Back
Top Bottom