Huu sasa siyo usanii ni ulimbukeni

attachment.php
 
Free market economy si ndo hiyo sasa mwache mdada atangaze bidhaa
 
Sasa kama mtu anajihita jini unategemea nini? Hizo ndizo kazi za jini...
 
Hata tubaki wawili duniani yani niende kenya kongo marekani yani yuko yeye tu duniani mi spigi..

hahahaaaaaa umenikumbusha mbali sana jamaa angu..! lakini ni kweliii..!? manake hapo nilipokumbuka jamaa alikuja kupiga hahaahhahaahhahaiiihiihihhhiiiihihhahaiihhihihahihii
 
Biashara matangazo, anataka mshedede huyo, dondosha contact zake fasta vinega tuchangamke


Il Gambino.
 
Hapo tu ndo peupe kwingine mweusi akivua
Na kwingine sugu imeota uazania anabeba mchanga

Mzee wa Rubisi, vipi ulishapitia au...! Maana geografia ya mwili wa Jini Kabula
Unaijua vilivyo! Ebu tueleze, kuna wana JF hapa wababishana kuhusu hizo nyonyo za Jini K; mmoja kasema kuwa 'dodo'zake(Kabula) ziko bomba, mwingine anadai kuwa ni kama kandambili! Which is which?
 
Hivi na nyinyi mnategemea kitu gani kizuri kutoka kwa JINI?

Jini kabula sijui jini nani, Jini ni jini tu na yatokanayo naye yote ni ya ki'jini jini tu yaani mabaya
 
Dah!! mbona anasomeka kirahisi hivyo?anasomeka kua anajambo zito linalo ihusu afya yake .....anyway kishamba shamba poa....
 
Back
Top Bottom