Huu sasa ni zaidi ya ufisadi,

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Ndugu zangu wana JF, imenisikitisha sana kama haya yaliyoandikwa na gazeti la Mwananchi toleo la tarehe 10/08/2010( ISSN 0856-7573 Na 03704) likinukuu maneno yaliyosemwa na katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA, ya kwamba kitendo cha Waziri kufungua mkutano analipwa 1.2m, akienda naibu waziri analipwa Tsh. 600,000/= na kama ni katibu mkuu anachukuwa Tsh. 700, 000/=.Hivi kweli hii ni haki?
 
Tanzania hamna haki! Hizo ni kidogo tu: Kwenye Wizara kuna kitu kinaitwa "dokezo" -
 
Duh Kama na hayo ni kweli ama kweli tuna ulimbukeni usio pimika kabisa,

Nadhani imefika wakati nasi tupige kura ya kunyambulisha katiba yetu tujue ni vipi vipengele vyatufaaa na vipi havitufai kabisa maana naona twaenda holela holela tuuu basi ilimradi siku hazi gandi
 
Kuna masilahi mengi mengine. Ndiyo sababu ya wasomi kuzikimbia fani zao na kutumia mbinu zote kuutafuta ubunge, ili wabahatishe uwaziri
 
Oooohhh my goodness........jamani naomba kufahamu kama huo ni ukweli ama laa, pls. How is possible?????????nooooo waay!!! Mbona haiingii akilini?? hapana. waungwana pls kama ni kweli naomba kufahamu kwa data.:mad2:
 
Kuna haja ya kuwa na uongozi mpya utakaobadilisha system nzima iliyokubuhu kwa ufisadi
 
Back
Top Bottom