Huu ni wivu au ni msimamo mkali?

Hapa hakuna wivu wala nini,huyo mwanamke hana heshima tuu tangu kuzaliwa kwake!!

wewe umenena vema haya huwa tunapata kutoka kwa wanaume leo mbeijing mwenzetu anafanya haya maajabu loh hii imekuwa too much ni haki mmewe aumie
 
Huyo shemejio amepata watu ambao anawaona ni muhimu kuliko mdogo wako, na wamechukua nafasi yake totally!
Solution, iteni watu wa karibu katika familia, kama hatawsikiliza na hao, basi huyo ni sikio la kufa!.
 
Nakushauri ukakutane na shemeji yako bila hata ya mdogo wako kujua, then anzia hapo naungana na wengi kuwa ni mpaka pale utapojua fikra na mawazo ya upande wa pili ndipo utakapokuwa na nafasi ya kuwasaidia.

Swali ni je hii ndoa ina watoto? wangapi na wa umri gani?
 
Yale yale ya kila siku na hamna jipya. Mkiambiwa ndoa zimepitwa na wakati mnatuona sisi ma outcast...

Hao wote wangekuwa single wala yasingewatokea haya
 
Kaka huyo mwanamke hana maana hat kidogo, ndo shida ya wanawake wengi, wakiwa na uwezo wa kupata shiling elfu kumi inakuwa shida, sasa suala la kupita kila siku baa na marafiki zake na worse enough ameisha onywa na hataki kusikia ina maana ana mtu mwingine anayemskiliza huko baa, that is bull shit, kaa naye chini na apokee ionyo kali kabisa akiendelea basi jamaa aangalie ustraabu mwingine maana kupigiziana kelele siyo deal tena siku hizi.
pole sana kaka hao ndo wake zetu tunaotaka wasikae tu nyumbani japo apate na cha kujipatia vijenti kidogo lakini akiisha anza kuvipata wengi wao ni taabu tupu hakumbuki alipotoka.
 
Maumivu mengine ya moyo huwa ni makubwa sana. Usikute mwanamke alikuwa housewife, jamaa kajinyima kampa mtaji wa biashara ili kuongeza kipato cha familia. Badala ya kusimamia vema biashara sasa kaona ana pesa, kiburi kimeanza na bia za kila siku juu!

Siku akifilika itabidi huyo mume amtafutie kazi ya u-house girl kwa wahindi ndipo atashika adabu!

Ni kweli jamaa anafanya kazi na aliona ili kumuweka wife busy afungue biashara, sasa kinachomuuma wife hamsikilizi ati yeye sio mtoto.
 
Huyo shemejio amepata watu ambao anawaona ni muhimu kuliko mdogo wako, na wamechukua nafasi yake totally!
Solution, iteni watu wa karibu katika familia, kama hatawsikiliza na hao, basi huyo ni sikio la kufa!.

Mkuu PJ dogo anachodai ni hicho kwamba kama mke hana hamu ya kuonana nae toka waachane asubuhi, ina maana mapenzi yamehama. Nakubali ushauri wako japo jamaa anafikiri haisaidii kwa sababu kama penzi likishatoka rohoni kulilazimisha ni kazi na haoni sababu, tatizo ni kwamba wana watotot wawili, 7yr na 3yr.
 
Nakushauri ukakutane na shemeji yako bila hata ya mdogo wako kujua, then anzia hapo naungana na wengi kuwa ni mpaka pale utapojua fikra na mawazo ya upande wa pili ndipo utakapokuwa na nafasi ya kuwasaidia.

Swali ni je hii ndoa ina watoto? wangapi na wa umri gani?

Naona nionane nae kwanza nikiona haelekei niwashirikishe wazee kama ni dogo alianzisha matatizo itajulikana, Wana watoto wawili, 7yr na 3yr
 
kwann usiombe ukutane nao wote maan kukutana na mmoja tu si unajua mvutakamba uvutia kwake?ww kutana nao sikiliza malalamiko yao then waambie wasuruhishe,lkn ww umeoa?kama hujaoa plz DONT TRY THIS![QUOTE=Mchili;798737]Naona nionane nae kwanza nikiona haelekei niwashirikishe wazee kama ni dogo alianzisha matatizo itajulikana, Wana watoto wawili, 7yr na 3yr[/QUOTE]
 
kwann usiombe ukutane nao wote maan kukutana na mmoja tu si unajua mvutakamba uvutia kwake?ww kutana nao sikiliza malalamiko yao then waambie wasuruhishe,lkn ww umeoa?kama hujaoa plz DONT TRY THIS![QUOTE=Mchili;798737]Naona nionane nae kwanza nikiona haelekei niwashirikishe wazee kama ni dogo alianzisha matatizo itajulikana, Wana watoto wawili, 7yr na 3yr[/QUOTE
 
Nataka nipate maelezo yake binafsi kama dogo alivyonipa yake binafsi akiwa huru na nimshauri kama akinielewa itakua hamna haja ya kesi. Mie nimeoa dada.
 
tehetehe!!!! kwanini hataki kufuatwa?kupitiwa?? ana ajenda gani mbaya au nzuri asiyotaka mmewe kujua. I ve ma dauts hapa. dawa amprohibit mkewe kwenda dukani,aweke mtu ya kuhudumia,
Ila pia najiuliza huyu mama hana watoto???hadi saa tano??
nani anataka ahudumie familia yake? I hate iresponsibo mamis.
sio wivu wala nini, ni haki ya jamaa kumind
 
Ni kweli jamaa anafanya kazi na aliona ili kumuweka wife busy afungue biashara, sasa kinachomuuma wife hamsikilizi ati yeye sio mtoto.

Believe me huyo mwanamke tayari kaonyeshwa mji na wafanyabiashara wenzie, kajazwa ujinga kwamba yeye ni mzuri na wala hastahili kuwa na mwanaume hohe hahe kama mumewe. Kaunganishwa kwa pedeshee mmoja mwenye simu nne, cheni shingoni, mbwembwe nyingi lakini mwenye hela za kuuunga unga na gundi.

Mnatakiwa mumuwahi mapema kabla hajatapeliwa hata huo mtaji wa biashara! Take my words! Hili ni jiji!
 
Nafikiri huyo mke ana matatizo sio bure. inafaa achunguzwe maana ukiona hivyo anatafuta sababu tu ya kufanya hiyo ndoa ivunjike ili aanze mbele si unajua baada ya chanzo kitendo.

Mke mwenye busara huijenga nyumba yake bali mke mpumbavu huibomoa ndio huyo.
 
Nataka nipate maelezo yake binafsi kama dogo alivyonipa yake binafsi akiwa huru na nimshauri kama akinielewa itakua hamna haja ya kesi. Mie nimeoa dada.

Pana siri nzito hapa lakini kwa msaada wa Mungu yatakwisha na kingine kwa mdogo wako mwambie asichukue mambo haya pupa namna hiyo; Na awe tayari kusamehe ikiwa upande wa pili utakiri na kuomba msamaha wa kweli kama tataizo si yeye mwenyewe, matatizo yapo na si kuyakimbia na kwa sasa wote wawili wakiachana wana hasara kubwa kuliko hiyo ya kutokuwa na furaha; hata kama watakuwa na pesa lukuki; tayari watakuwa wamepanda mbegu mbovu kwa watoto wao; unajua tumepewa watoto tuwalee na huo ni uwakili toka kwa mungu na wajue kuwa wanawatesa watoto hivyo wanamkosea Mungu zaidi na mwisho wa yote waache ubinafsi!

Well ningependa kujua wamefunga ndoa ya aina gani?
 
Ndoa ni zaidi ya maudhi ya mume, hivyo huyo dada hatumii busara kutokuwajali na wanae. Kwa mzazi wa kike aliyeimara na instincts za kike kweli lazima aone vibaya kurudi saa 5 usiku hata kama si kila siku lakini mara nyingi.
Wakinamama mara nyingi sana wanajitahidi kila nafasi waipatayo kuwa karibu na familia zao na hasa zinapokuwa na watoto. Pamoja na maendeleo, mambo ya kimagharibi na career zao wanazotaka kuendeleza bado kuna idadi kubwa tu hawaachi nyuma familia zao.
Na endapo ndoa yake ina matatizo basi hiyo sio njia muafaka ya kutatua tatizo. Asisahau Mafahali Wawili hawakai zizi moja.
 
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake.

?

It could be bad company his wife is associating, atafute watu wakae na mkewe wamsikilize kabla ya kuchukua uamuzi huo. We always pass through that situation but we always find solutions.

Na mwanaume anatabia gani, it could be ana nyumba ndogo hurudi home alfajiri.....
 
Well ningependa kujua wamefunga ndoa ya aina gani?

Wamefunga ndoa ya Kikristo
Na mwanaume anatabia gani, it could be ana nyumba ndogo hurudi home alfajiri.....
Yuko busy na kazi na anaijali familia yake
Believe me huyo mwanamke tayari kaonyeshwa mji na wafanyabiashara wenzie, kajazwa ujinga kwamba yeye ni mzuri na wala hastahili kuwa na mwanaume hohe hahe kama mumewe. Kaunganishwa kwa pedeshee mmoja mwenye simu nne, cheni shingoni, mbwembwe nyingi lakini mwenye hela za kuuunga unga na gundi.

Mnatakiwa mumuwahi mapema kabla hajatapeliwa hata huo mtaji wa biashara! Take my words! Hili ni jiji!
Inawezekana, point taken
 
Back
Top Bottom