Huu ni wivu au kulinda heshima ya ndoa?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Kuna habari ya kusikitisha nimeisikia katika BBC radio leo asubuhi kuhusu kisa cha jamaa mmoja huko Ngorongoro aliyewaua watoto wawili kwa kuwaponda na marungu kisa eti amegundua kuwa sio watoto wake, ingawaje kisa chenyewe ni kwamba jamaa alienda Mererani kusaka maisha,akakaa huko muda mrefu kiasi aliporudi akakuta mkewe mjamzito akaombwa msamaha nae akasamehe na kuondoka tena kurudi mererani, next time aliporudi tena home akakuta mkewe ana ujauzito tena.,this time hakukaa sana akaondoka, aliporudi tena next time akakuta wale watoto wameshakuwa tayari ndipo alipochukua rungu na kuwaua kwa kuwaponda wote wawili.,sasa waungwana huu ni wivu, ujinga au kulinda hadhi ya ndoa?
 
Mkuu nami niliipata pata,Lakini nikaelewa siyo uamuzi wa utimamu wa akili,Kwani alipaswa kuelekeza hasira yake kwa mama na wala siyo watoto.Generally ni uenda wazimu ulivuka vile viwango vya uhimili wa akili ya mwanadamu!Hapo siyo wivu,Ujinga wala kulinda hadhi ya ndoa,Let the justice take its course.
 
Mi nauliza.....
Wale wanapinga hukumu ya kifo,,hata katika umaluuni kama huu wanapinga??
sasa wao wanataka MALUUNI kama huyo afanywe nini?
 
Back
Top Bottom