Huu ni utapeli ??????????????????????????????????????????

niliwahi kutumiwa kitu kama hii kwenye email yangu nimeshinda paundi laki saba wakati sikuwahi kucheza bahatai nasibu yoyote.....nikareply kujifanya nataka ufafanuzi zaidi lengo langu jamaa areply maana ningepata information za kuitrace hiyo email, cha ajabu yeye akawa anajibu ila kwa kuconstruct fresh email....ndipo mwishoni nikamwambia peleka hizo hela kwenye vituo vya kulelea watoto yatima, hakujibu tena.............watu wanapenda sana dezo dezo, bora wewe umeshtuka mapema
 
tena huwa wana weka sehemu ya kujaza account number,,,weeee jaribu kuweka uone utaka vimadafu vyako vyote wamevikomba
 
Back
Top Bottom