Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,289
- 92,376
- Thread starter
- #21
Huu si mkopo uliotolewa na taasisi za kifedha, naomba uelewe vizuri, hii ilikuwa ni Gentle Agreement, ila biashara zilivurugika na suluhu nje ya mahakama ikashindikana, na inaonekana Complainant hakuwa anaamini kwa 100% kwamba jamaa kweli ali collapse kwenye biashara aliyoinvest.nadhan lawyer wake hakuwa lawyer mzuri, there is always a loophole kwenye mkataba wowote unahusiana na mkopo nina experience ya hiki kitu na ndiyo maana siku zote wanaotajirika kwa mikopo ya bank uwa hawafungwi kwa kutolipia mikopo.
Kama hapo juu mdau alivyosema kama inawezekana kukata rufaa na goodlawyer basi ifanyike hivyo na mwisho wa siku akiwashinda awadai fidia pia.