pomo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 267
- 31
kuna jamaa angu m1 alikuwa anapiga deiwaka kwenye kampuni flan hivi kamuda kalipita, boss wake akawa anampango wa kumwajiri.
sasa jamaa akaambiwa apeleke picha 3 ili apate ajira ya moja kwa moja, basi jamaa akakusanya hizo picha 3 na zote akiwa amepiga sehem
tofauti tofauti.moja akiwa beach anaogelea, nyingine akiwa uwanjani anacheki gemu na nyingine yupo kwenye daladala kama konda
vile huku anakusanya nauli.
basi yule boss akadhani jamaa analeta utani,basi maamuzi aliochukua ni kumtimua hata huo udeiwaka.
jamaa kumbe alikuwa hajaelewa hakufikiria kabisa kuhusu pasport size ndo zinaitwa picha.