Huu ni unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii huku ukiwataja kwa majina yao halisi na majina ya ukoo. Unayefanya hivi ni baba mtu mzima mwenye mke na watoto wawili, unavuka mipaka kwa kusema kuwa eti umewala ule mtandao maarufu wa mawasiliano. Hatukuwepo, lakini mambo mliyo yafanya sirini yawe ni siri yenu yasije huku kwenye mitandao ya kijamii. Inasikitisha
 
watu wengine hawakui....ukiona hivyo ujue ana mapungufu labda ana kibamia au ni mbovu kny game,hivyo anafanya hivyo kujihakikishia kisaikolojia yuko on top! ni kama vile watu wafupi wanavyopenda kujikweza................hii inaumiza wadada tuwe carefulll tunapochagua wenza wa kwenda kuduu nao ukiona ana dalili ya uropokaji unampotezea lol
 
Bujibuji vip mkuu,..mbona hii story haileweki unaileta vipande vipande,..halafu imekaa kama mipasho vile,....sema usikike,....nani,yuko wapi,kafanya nini na wapi huko.
 
watu wengine hawakui....ukiona hivyo ujue ana mapungufu labda ana kibamia au ni mbovu kny game,hivyo anafanya hivyo kujihakikishia kisaikolojia yuko on top! ni kama vile watu wafupi wanavyopenda kujikweza................hii inaumiza wadada tuwe carefulll tunapochagua wenza wa kwenda kuduu nao ukiona ana dalili ya uropokaji unampotezea lol

Acha madharau sasa,..........
 
ama!! Kuna watu na binadamu!

Sasa hapo na yeye si kajishushia hadhi yake hali kadhalika! Aibu hata kwa mkewe!
 
Watu kama hao ujue utotoni waliwahi kufungwa jela na majibaba wakubwa sasa kiyama alichofanyiwa kule kuelezea kashindwa ndio ana elezea aloyafanya na msichana,inahusu nini kuelezea ulofanya na mwanamke wakati mko pekeenu? au ndio uonekane rijali? huyo sio mwanamme kabisa,na ukimuone ngoma yake huko ndani utajuta ulimvulia nini nguo wananiudhi roho yangu ilobaki basi2 lakini na huyo mwanamme asisahau kua na yeye ana watoto na huyo alomuanika pia ni mtoto wa mzazi mwenzie iko siku atajua uchungu wake.
 
Back
Top Bottom