Huu ni unyama au ulimbukeni au ni nini ndugu zanguni???

cio limbukeni jamila hana wivu na juma na hana mpango wa kuolewa yeye kuchuna2 tehetehetehtehe
 
hii inarahisisha kuswich user!!!
ila inatia doa sana kwenye mahusiano.
assume ww ME alaf anaemmega mkeo katia timu alaf ukamgundua ungefanya NN?
wengine tungewatuka segerea
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni........mie hawara wa ex-hubby alikuja kanisani(tulikua kwenye rehearsal) kumpa mchango wa harusi sasa sijui hapa we ungefanyaje?niligombana sana siku hiyo nikanuna sanaaa lkn haikusaidia na harusi ndio ilikua siku mbili zijazo. Na harusini alikuja na kucheza sanaaaa na baada ya harusi waliendelea kumegana mpaka walipoamua kusitisha wenyewe kwa mapenzi yao(sikumshurutisha amuache). Haya niambie unaionaje hii?

Hiyo inahitaji ujasiri wa kifisadi ati........
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni........mie hawara wa ex-hubby alikuja kanisani(tulikua kwenye rehearsal) kumpa mchango wa harusi sasa sijui hapa we ungefanyaje?niligombana sana siku hiyo nikanuna sanaaa lkn haikusaidia na harusi ndio ilikua siku mbili zijazo. Na harusini alikuja na kucheza sanaaaa na baada ya harusi waliendelea kumegana mpaka walipoamua kusitisha wenyewe kwa mapenzi yao(sikumshurutisha amuache). Haya niambie unaionaje hii?

Ilikuwaje basi akawa exhubby?
 
Ni kawaida hadi vijijini. Wengine hadi wamekuwa wasimamizi wa bw/bi harusi.
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni........mie hawara wa ex-hubby alikuja kanisani(tulikua kwenye rehearsal) kumpa mchango wa harusi sasa sijui hapa we ungefanyaje?niligombana sana siku hiyo nikanuna sanaaa lkn haikusaidia na harusi ndio ilikua siku mbili zijazo. Na harusini alikuja na kucheza sanaaaa na baada ya harusi waliendelea kumegana mpaka walipoamua kusitisha wenyewe kwa mapenzi yao(sikumshurutisha amuache). Haya niambie unaionaje hii?

Pole sana, lakini hongera sana kwa uvumilivu. Hiyo ndio mbinu bora ya kushinda vishawishi vya uvunjivu wa ndoa. Uzuri zaidi huonyeshi kuwa umelipiza kisasi. Ukianza kufikiri kulipiza tu, ndoa yako itakosa amani na kuvunjika. Kibaya ni kuwa huna haja ya kuangalia huo mkanda wa video ya hiyo harusi.
 
sasa yeye fatu alivomuona jamila yuko bize mstari wa mbele anapiga picha hakuuliza huyu mtu ni nani wakati yeye fatu hamjui...dah jamani siku hizi watu tunaibiwa hivi hivi kwa macho yetu mchana kweeuuuppeeeee
 
hapo hamna love bali ni mahusiano tu ya kawaida, hata kwa juma na fatu hakuna love hapo manake tukisema umjini basi inamaana huku jmini hakuna mapenzi ya kweli bali ni kuishi na mtu kwa kuviziana tu.
 
Ilikuwaje basi akawa exhubby?

Hiyo aihusiana na issue hii niliyoongelea hapa! Wala sikuachana sbbu ya huyo dada nisije nikachuma dhambi buree wao walimalizana wanavyojua wenyewe na sie maisha yakaendelea tukajaaliwa watoto watatu na baadae yakashindikana kila mtu akala kona.
 
Pole sana, lakini hongera sana kwa uvumilivu. Hiyo ndio mbinu bora ya kushinda vishawishi vya uvunjivu wa ndoa. Uzuri zaidi huonyeshi kuwa umelipiza kisasi. Ukianza kufikiri kulipiza tu, ndoa yako itakosa amani na kuvunjika. Kibaya ni kuwa huna haja ya kuangalia huo mkanda wa video ya hiyo harusi.

Lol na picha pia maana yuko sana tuuuu....ndoa haipo tena ila hata ilipokuwepo niliona ni bora kuwapa uhuru wao maana nilivyokua nabana ilikua haisaidii.
 
hahaaa hata mie nilitaka kuuliza ila nkapotezea eh

Usipotezee bana utakosa uhondo siku nyingine...lol
Nimekupa kipisi tu ili ujue kuwa haya mambo yapo tena mengi ya kila aina watu wakiamua kufunguka utakimbia bureeee!! Kuna vitu ukisimuliwa unaweza kusema mtu anatunga kumbeeee.....mmmhhhh balaaa
 
dini ya Juma na Fatu inaruhusu kumuongeza Jamila katika familia......
Dini zote tu zinaruhusu hata kama kina john...matatizo ya kina John na Janny hawajui kusoma vitabu vyao vinasema nini :bounce:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom