Huu ni ukomavu wa siasa au ni ukibaraka?

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Siku ya kwanza Mh. Ole Sendeka alipopanda jukwaan kule Arumeru kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM yalisemwa mengi ikiwepo na kutoa mtazamo wa fikra zetu ya kuwa Mh.Ole Sendeka sasa naye yupo katika kundi la EL, kauli hii ilichangiwa na wengi sana hapa jamvini na kuandikwa kwenye baadhi ya magazeti.
Sasa kwa picha hii ya Ole Sendeka na Nassari ilopamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Tanzania Daima nani kibaraka wa nani au tutauita ni ukomavu wa kisiasa kwa Ole sendeka?
 
Attachments

  • Sendeka & Nasari .jpg
    Sendeka & Nasari .jpg
    71.1 KB · Views: 92
Vyote vinawezekana na visiwezekane pia kumbuka wanasiasa ni baba mmoja ila mama tu ndio tofauti. Vijinasaba vyao vinafanana, intrest zao ni moja tu (usidanganyike eti kukutumikia wewe!) We mkubwa umeshaelewa nadhani.
 
hakika nimeamin kuwa JF nikisima cha habari za uhakika, hiyo picha imenithibitishia kwamba ni kwel sendeka alimkombatia nassary na kumpongeza. much respect to JF.
 
kwani ni olesendeka alimkumbatia Nassari ama Nassari alimkumbatia Olesendeka kilaza? Tutajuaje?? pengine walikumbatiana..huwezi jua kama historical background zinawahusu!!!
 
Kwa hiyo ntakuwa sawa nikuanganisha na ile dot ya sioi kuhujumiwa??

Sangarara; kama ukiamua kuziunganisha dot zako kwa kumaliza kihivyo sasa je kama ilisemwa kuwa Ole Sendeka ni kambi ya EL inakuaje tena amhujumu Sioi ambaye ni mteule kambi yao?
 
hakika nimeamin kuwa JF nikisima cha habari za uhakika, hiyo picha imenithibitishia kwamba ni kwel sendeka alimkombatia nassary na kumpongeza. much respect to JF.

Una uhakika gani kama Sendeka alikua anampongeza Nassari au alikua anamvuta kijana kijanja kwa kuutengeneza ukaribu na ushawishi wa kiutu kuwa kibaraka wao?
 
kwani ni olesendeka alimkumbatia Nassari ama Nassari alimkumbatia Olesendeka kilaza? Tutajuaje?? pengine walikumbatiana..huwezi jua kama historical background zinawahusu!!!

Kutokana na maelezo ya mwandishi na mpiga picha wetu ameeka bayana kuwa "Ole Sendeka akimkumbatia Nassari wakati anaondoka kuelekea kwenye kampeni".
 
kwani ni olesendeka alimkumbatia Nassari ama Nassari alimkumbatia Olesendeka kilaza? Tutajuaje?? pengine walikumbatiana..huwezi jua kama historical background zinawahusu!!!
hapa inaonekana sendeka ndo alienda kumkumbatia Nassari, huu ni mtazamo wangu kwakua hapo walipo kuna gari inayoashiria kuwa ni ya cdm na bila shaka ndo anayotembelea nassari kwenye kampeni, therefore sendeka alimfuata nassari na kumkumbatia, hapo vipi????????
 
Nadhani Ole Sendeka anajua anachokifanya, maana siamini kabisa kwamba sasa yuko kambi ya Lowasa. Nadhani anapigana vita vya ndani, na hapa atakuwa anahujumu tu kambi ya Lowasa! Hii ni advantage kwa CHADEMA.
 
Siku ya kwanza Mh. Ole Sendeka alipopanda jukwaan kule Arumeru kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM yalisemwa mengi ikiwepo na kutoa mtazamo wa fikra zetu ya kuwa Mh.Ole Sendeka sasa naye yupo katika kundi la EL, kauli hii ilichangiwa na wengi sana hapa jamvini na kuandikwa kwenye baadhi ya magazeti.
Sasa kwa picha hii ya Ole Sendeka na Nassari ilopamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Tanzania Daima nani kibaraka wa nani au tutauita ni ukomavu wa kisiasa kwa Ole sendeka?

jana nasri katupiga goli lakini baada ya mechi akakumbatiana na essien.

hamna cha ajabu hapo.

jipange
 
It is Sendeka's wish that CCM lose in Arumeru. Hajasahau Lowasa alivyotaka kumfunga kupitia kwa Millya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom