huu ni ugonjwa gani?

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu sana ..kuna mtu aliniambia ni dalili za brain tumour ni kweli?nisaidieni mana ateseka sana
 
Ameshakwenda hospitali? Muda mrefu sana manake nini?

Hizi symptoms sio za kuchukulia juujuu
 
Kuumwa kichwa mpaka kutoka damu puwani ni dalili ya maradhi mengi tu. La kwanza kabisa ni chronic sinusitis Na inabidi utoe dalili nyingine kama vile homa za jioni, mafua, na kadhalika. Lakin all in all ni bora umpeleke Hospital.
 
Hili tatizo litakuwa serious, ila ni vema akawahi hospitali kwani mara nyingi watu tumekuwa na tabia ya kuupuuzia mambo inapokuja kuwa critical ndio unakwenda hospitalini na wakati ho inakuwa ni too late, utaratibu wa kufanya body check up mara kwamara nimuhimu kwani kinga ni bora kuliko tiba.
 
kuumwa kichwa mpaka kutoka damu puwani ni dalili ya maradhi mengi tu. La kwanza kabisa ni chronic sinusitis na inabidi utoe dalili nyingine kama vile homa za jioni, mafua, na kadhalika. Lakin all in all ni bora umpeleke hospital.

hua aumwa sana malaria hata homa pia
 
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu sana ..kuna mtu aliniambia ni dalili za brain tumour ni kweli?nisaidieni mana ateseka sana

Mpeleke mpenzio pale Magomeni, kwa Dk. OLE LENGINE. Atampa tiba zote. Mimi nilikuwa na hilo tatizo at the age of 10-15, chronic sinusitis, wakavinyofoa ikatulia. Nenda kamuone huyo atakusaidia
 
Back
Top Bottom