Huu ni ufisadi au?

Brine

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
375
69
Tunahitaji viongozi wenye uchungu na nchi na siyo bora kiongozi,
 
attachment.php
 
Bado natafakari matokeo ya huu uwekezaji unaofanywa na serikali kwenye elimu ya msingi. Kama msingi wenyewe ndio huu basi tusitarajie miujiza sekondari na vyuoni ambapo jana tu waliripoti suala la watoto wa kike kutafuta pesa za kujikimu kwa kutumia miili yao.

Sijui nani ni mwanzilishi wa hii nukuu lakini najua Baba wa taifa aliwahi kusema "if you think education is expensive try ignorance" nadhani nchi yetu kwa sasa inawekeza kwenye "ignorance" baada ya kugundua kuwa elimu bora ni gharama. Kwa mtaji huu lazima ndugu zetu maalbino na wamama vikongwe wanyanyapaliwe na kuuwawa.
 
Hii ni zaidi ya ufisadi yaani kwa kifupi ni dhambi. Dhambi ambayo nadhani hata Mungu anaishangaa. Miaka 50 ya uhuru na fedha zilizotumika kwenye shrehe hiyo zingeleta mabadiliko shuleni huko. Aibu impata Rasi wa sasa. Aende Geita aone dhahabu zinavyopelekwa nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom