Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja






Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje....


Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora.
Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya wabunge....

VITUKO+REDDS+MISS+TABORA.jpg

VITUKO+REDDS+MISS+TABORA+2.jpg

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.



Kwanza alikwenda kufanya nini huko chooni? Ni nzi ndie anaestahiki kwenye uchafu na pili mbona mwenyewe anaonekana kafurahia? Bora laumu uchafu na nzi kwa pamoja!
 
kwani haruhusiwi kuona neema za allah?

Hebu kuwa na adabu na nidhamu wewe. Kutaja jina la mungu kwenye upuuzi huu.
We huogopi laana wewe. Au huna la kuongea mpaka umtaje mungu kwenye huu uchafu mnao onekana kuushabikia!
Na neema za Allah unaziona kwenye uchafu tu. Hujitizami wewe ukajioa ulivyo umbwa na ukapewa mikono na vidole ambavyo unavitumia kusifu alie kuumba kwenye uchafu wenu!
Angalia sana aliye kupa hizo neema anaweza zichukua saa yyt bila kukufahamisha! Shauri yako
 
Ngeleja anaundugu na komedian mtanga? Mbona wamefanana sana jamani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hakuna cha waheshimiwa wala nini,bora hayo mauchafu kuliko mauchafafu ya bungeni kwa kina ngeleja
 
Atamuogopa nani wakati hayo masaburi yanaonwa na watu tofauti tofauti kila siku.
 
Zamani ili kulifikia tak.o lazima ufunue chup.i ila kwa siku hizi hali ni tofauti kidogo kwa sababu ili uione chup.i lazima ufunue tak.o kwanza
Mama mbavu zangu zinauma. Kwikwikwikwikwikwiwii. Uwiiiiiii
 
Hii ni aibu hata kama mheshimiwa huyu asingekuwepo.
Kwanza nothing indicates kwamba yeye alikwazika...
 
Smile wawekee ile clip ya neema za ala, mi nshaifutaga.
jamaa katoa ingine anadai anashangaa wanaume wenye mke mmoja kama mama mzazi eti...mama mzazi ndo anatakiwa kuwa mwanamke wa pekee kwa mwanaume ...hao wengine unajisevia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom