Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

Duh kitu lavu bila chenga yaani TA KO, angekuwa TID enzi zake lazma angempiga kidole huyo.Nakumbuka FIESTA kati ya 2005 au 2006 uwanja wa Jamhuri Dodoma,sista Du mmoja alipanda jukwaani kucheza na mnyama aisee jamaa alimnyanyua juu halafu akamnyonya mate alivyomshusha demu alipoteza uelekeo akabaki kaduwaa tu.
 
Tukisema mambo haya hayafai kwa Mungu virungu, tunaambiwa hatujasoma mara wadini!!!!
 
Chezea Tabora wewe, Donge linakuuma na kinguo cha Pundamilia.

Ila sielewi kwa nini Wema Sepetu na Aunt Ezekiel na wao walikuwa na Kipundamilia....
 
ila huyo dada ana inye zuri aisee...
sema kaniudhi amevaa nguo za kichina
 
Ukiacha swala la mavazi pia yuko fit kimazoezi..chezeya msamba wewe......
 
Atakuwa alivaa kichupi cha kamba sasa kimeingia katikati ya mfereji wa kinyesi.
 
kwaa raha yake, mwili wake, shauri yake, uamuzi wake, shepu lake

ataji jj

macho yetu kuangalia (ila ana bahati rangi imetulia kote, kuna wanawake wengine mapajani kama mkaa)

ila anaonekana alikolea na muziki kwa midundo yake, labda na maneno.
 
Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom