huu ni sawa na kufanya utani na izraeli

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kuna jamaa wamenishangaza sana pale buguruni sheli. wakati magari yakiwa kwenye foleni, yakisubiri kuruhusiwa, njemba mbili ziliona kupita nyuma ama mbele ya sam trela ni ishu. wakaamua kuinamisha migongo na kupita chini ya trela.

sijahadithiwa. nimejionea.

utani mwingine haufai jamani. ni hatari.
 
Hayo ya kawaida sana hapa mjini sijui watu wamechanganyikiwa na haya maisha bora kwa kila mtanzania!hapo hapo Buguruni hivi karibuni nimeona jamaa wawili wakifungua koki na kukinga mafuta ktk tenka au lori la mafuta likiwa linasubiria taa ziwake, almanusura dereva apate kesi ya kuua kama sio watu kupiga kelele.
 
Hii ilimkuta mama mmoja maeneo ya river side. Kapita kati ya tela kwa chini na scania ikawa inasogea. Alichanganyikiwa na mwisho wa siku alichafua lami vibaya!
 
Back
Top Bottom