Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
mwenzenu labda sielewi.
Kwni kuwekeza kwenye kilimo manake nini na athari zAke ni zipi. Tafadhari sana msichoke kunielewesha
Mkuu angalia tulivyoliwa kwenye madini, then hamishia hiyo kitu kwenye kilimo!!
Anyway, simple analysis:
1. Hao wawekezaji wakilima hela watakazopata watatujazia mifukoni kwetu? The answer is simply NO! . Kama tutapata fedha zitakuwa ni "pea nuts!"
2. Jambo jingine, ardhi imefanya nchi nyingi kuingia vitani au kwenye migogoro kwa sababu ya ukosefu/upungufu wa ardhi! As long as tunawaita hawa "wajomba" zetu ardhi wanayoiwekeza ni yenye rutuba na ni kubwa! Mwisho wa siku tutakuwa kama yale ya Zimbabwe!
3. Tujitegemee wenyewe, tuache kutawaliwa na hawa watu wakati UWEZO TUNAO! Enzi za Ujamaa na Kujitegemea zimeenda wapi? Are we going in a reverse direction?
Niishie hapa kwa sasa!!