Huu ndo uwajibikaji au ndo uhuru wa demokrasia?

MASHOW

Member
Jan 20, 2012
34
1
Halo naomba ufahamu kuhusu hili nimesikia baraza la mawaziri linavunjwa sina hakika if yes swali linakuja..... kitendo cha rais kutaka kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu wanaumwa ni kuwatendea haki wale wagonjwa na je kuna muda walisha wahi kuwajibika kwa vile walikuwa wazima?mm naona ni mfa maji anatapatapa na ikiwa hivo sidhani kama itakuwa sahihi sana.waziri anawatendaji wengi ambao hata akiagiza tu inatakiwa kutekelezwa kama ingekuwa ni serikali makini na watendaji makini.thanx
 
Back
Top Bottom