Huu ndo ubaya wa kuachwa na yule unayempenda

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Kwa kweli anatia huruma
 

Attachments

  • Makamba.jpg
    Makamba.jpg
    14.9 KB · Views: 244
Habari za kiintelijensia nilizozipata ni kua anakwenda Bumbuli JK kashampatia shule ya msingi ya kwenda kufundisha.
 
ana kahoteli pale nane nane morogoro wacha akawasaidie maids
 
Ha ha ha, au anakwenda kumfuatilia yule mwanafunzi aliyempatia kale ka mzigo kalichomfanywa atemwe ualimu mkuu?
 
duh alikuwa anatafuta mlango wa kutokea hapo hahahaaa kweli siasa mchezo mchafuuuu
 
Ha ha ha ha ha haaaaaaaa
NO COMMENTS KTK HILI,

Da! ukiwa JF makunyanzi ya uso utayasikia tu, yaani ni raha na furaha kwa kwenda mbele.
 
huruma sana jamaniii!!! Ila naamni JK hawezi mtupa...amrudishe mkoani kwake (Dar - maana mkoa uko vacant) aendelee kupiga porojo
 
Habari za kiintelijensia nilizozipata ni kua anakwenda Bumbuli JK kashampatia shule ya msingi ya kwenda kufundisha.

Mmmmh huyu si anakashifa ya kunanihii wanafunzi? sitaki aende jimboni kwangu labda Bagamoyo
 
Back
Top Bottom