Huu ndio Uzuri wa TANZANIA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,986
Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani;

HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii

KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe,'Ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuweza kuona, nikajitahidi kumpiga sana ILI nipone, bahati mbaya kafariki.

385680_10151248873763529_1508641389_n.jpg
 
Picha nzuri sana. Ninawapenda sana twiga na pundamilia.
 
Hivi unatakiwa kufuata utaratibu gani kwa mamlaka husika ili uwe na kibali cha kuwafuga hawa wanyama binafsi
 
Hivi unatakiwa kufuata utaratibu gani kwa mamlaka husika ili uwe na kibali cha kuwafuga hawa wanyama binafsi

Mbona ni rahisi tu, hata kwenye ndege wanaweza kupandishwa na ukaletewa hadi nyumbani, NI WEWE TU!
 
Tanzania hakuna lisilowezekana ni hela yako tu tena ukienda pale posta fasta utampata huyo mnyama na kibaali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi unatakiwa kufuata utaratibu gani kwa mamlaka husika ili uwe na kibali cha kuwafuga hawa wanyama binafsi

Wasiliana na Idara ya Wanyamapori taratibu za kukamata,kusafirisha na kufuga wanyamapori zipo wazi. Maeneo mbalimbali ya Tanzania wapo wananchi wakifuata taratibu hizo na wamefanikiwa kufuga wanyama wawapendao. Taratibu zinapokiukwa kwa kujinufaisha hilo ni jambo lingine ambalo wahusika wanapaswa kuadabishwa kwa mujibu wa sheria zilizopo.
 
Wanapanda ndege kwenda ulaya bila nauli alafu hawarud tena
this is my countr tanzania
 
Wanapigwa dawa ya usingizi haoooooo tena bila passport twasafiri aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wanapigwa dawa ya usingizi haoooooo tena bila passport twasafiri aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
wakipigwa dawa ya usingizi watawaagaje wenzao?
ni lazima wasafirishwe wakiwa wazima, ili wawatamanishe wenzao waobaki ili nao walilie kupelekwa nje
 
Back
Top Bottom