Huu ndio utendaji?

Sep 10, 2012
23
8
Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao.
Je kuna njia yoyote wengine mnaitumia kuyapata?
 
Back
Top Bottom